Ajira - Destiny Primary School
Shule ya Destiny English Medium Pre & Primary yenye usajili wa Namba EM 15101 ni shule inayotoa mafunzo ya awali na Elimu ya msingi. Shule iko wilaya ya Tarime mkoa wa Mara, Kijiji cha Ntagacha (City of Hope) Km 30 kutoka Tarime mjini na Km 17 kaskazini mwa Sirari.
Shule inawatangazia nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo ya awali na shule ya msingi kwa masomo ya Kingereza, Sayansi na Hisabati.
Sifa za Mwombaji:-
- • Mwombaji awe na elimu ya Astashahada/Stashahada/Shahada.
- • Mwombaji wa nafasi ya ualimu kwa masomo ya awali awe amehitimu elimu ya awali ngazi ya Astashahada/Stashahada/Shahada.
- • Awe na uwezo wa kuongeza lugha ya Kingereza kwa ufasaha.
Maombi yote yatumwe kwenye email hii catherinelazarus19@gmail.com Kwa mawasiliano zaidi na maswali mengine tafadhali piga namba 0766 787 193
Pakua tangazo, bofya hapa
News
-
March intake - we are receiving new applications
Released: 14/01/2024 | ManagerArusha public College informing their customer hat new intake has opened
-
Tuition fee
Released: 26/03/2021 | College DirectorTuition fee should be paid via college Bank account
Announcement
-
Joining Instruction