Usahili kidato cha I na Kuhamia
Habari njema kwako mzazi/mlezi! Shule ya Sekondari ya Dr. John Chacha inapokea wanafunzi kwa ajili mafunzo ya awali ya kidato cha kwanza yaani pre form 1, kozi hii ni ya miezi mitatu (3) na itaanza 13/09/2021 hadi 10/12/2021. Masomo yote ya sekondari yanafundishwa pamoja na somo la computer na walimu wenye uwezo na wazoefu. Ada ya kujifunza kwa wanafunzi wa Bweni ni Tsh 100,000/= tu kwa mwezi na wanafunzi wa kutwa ni Tsh 20,000/= kwa mwezi. T-shirt ni BURE kwa wanafunzi wote. Mwisho wa kozi kutakuwa na mitihani utakaopima uelewa wa wanafunzi, iwapo atafaulu atasajiliwa moja kwa moja kidato cha I mwaka 2022.
Shule pia ina nafasi za kupokea wanafunzi wa kuhamia kuanzia kidato cha pili mpaka cha Nne. Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu.
Ili kujiunga, mwanafunzi atatakiwa kufanya mitihani ya kujiunga moja kwa moja au kupitia kozi ya pre form one. fomu zinapatikana shuleni au waweza kupakua HAPA
Kwa maelezo zaidi piga simu nambari:
0766787193 | 0752131077 | 0629177695
Tumefurahishwa na uamuzi wako wa kufanya masomo ya sekondari katika Shule ya sekondari ya Dr. John Chacha (DJCSS).
Imetolewa na Mkuu wa Shule.
News
-
March intake - we are receiving new applications
Released: 14/01/2024 | ManagerArusha public College informing their customer hat new intake has opened
-
Tuition fee
Released: 26/03/2021 | College DirectorTuition fee should be paid via college Bank account
Announcement
-
Joining Instruction