Pre Form One Course
Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Dr. John Chacha,Unapenda kuwatangazia kuwa tunatoa kozi ya Pre Form One, kuanzia 14/10/2020 na mwisho wa kozi ni 20/12/2020. Masomo yote ya sekondari yatafundishwa vyema na walimu wenye uwezo na uzoefu. Gharama ya masomo kwa wanafunzi wa Bweni ni Tsh 80,000/=, na wanafunzi wa kutwa ni Tsh 17,500/= kwa mwezi. T-shirt ni BURE.
Kuna nafasi kwa ajili ya kidato cha I hadi III kwa wanaopenda kujiunga, Kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na kidato cha I watafanya mitihani BURE tar 14/10/2020 vituo vya mitihani ni: Dr. John Chacha Secondary School, Kanisa la EAGT-Sirari, Kanisa la EAGT-Tarime, Nyamongo Secondary School, Miembeni Primary School-Bunda, Mapinduzi Primary School – Serengeti, JK Secondary School-Nyamwaga, Korogwe Primary School-Kahama, Mpondi Tuition Centre-Kahama.
Shule ipo Ntagacha - Wilayani Tarime, Mara
Kwa mawasiliano zaidi na maswali mengine tafadhali piga namba ⁃⁃⁃⁃⁃ 0766 787 193
Imetolewa na Mkuu wa Shule.
News
-
March intake - we are receiving new applications
Released: 14/01/2024 | ManagerArusha public College informing their customer hat new intake has opened
-
Tuition fee
Released: 26/03/2021 | College DirectorTuition fee should be paid via college Bank account
Announcement
-
Joining Instruction